
2,399 views
6 May 2021
Mungu wetu anajibu maombi kwa matendo usikate tamaa Mungu wetu anajibu maombi kwa miujiza usivunje moyo vijana siku hizi hatunaga subira mambo yetu ni haraka tena sana Hannah aliomba kwa muda mrefu bila kukoma alivumilia kukesha maombi kuomba mtoto akapata Samueli Maombi silaha maombi jawabu kwa unayopitia muombe Mungu anasikia Maombi anajibu maombi kwa wakati wake https://www.youtube.com/watch?v=qjPPKEJXn38&t=209s #maombi #prayer #hope