
3,858 views
11 Jan 2026
“Njoo kwa Bwana Yesu, Mambo ni Sawasawa” ni wimbo wa injili wenye ujumbe wa matumaini, upendo na wokovu. Katika changamoto za maisha, Yesu anabaki kuwa tumaini letu kuu. Wito huu ni kwa kila mmoja wetu: Njoo kwa Bwana Yesu – mambo yatakuwa sawa. 🕊️ Performed by: Stellah Nangila Mukoya 🎼 Song Title: Njoo kwa Bwana Yesu 🎙️ Genre: Catholic Gospel / Inspirational 📍 Country: Kenya — 🙏 Barikiwa na wimbo huu? Tafadhali: ✔️ Like ✔️ Share ✔️ Comment ✔️ Subscribe kwa nyimbo zaidi za kiroho #NjooKwaYesu #StellahNangila #CatholicGospel #GospelMusic #MamboNiSawasawa