
821 views
26 Apr 2022
Kwa Simanzi iliyonipata kama mwananchi wa Kenya Kwa kumpoteza Rais wetu kipenzi na shujaa,sikuwa na Budi Ila kumuimbia nyimbo ya Buriani Mzee wetu Mimi pamoja na Kakangu Valga857 . Pumzika Kwa Amani Rais Mwai Kibaki . Mungu akurehemu. 🙏🙏 Produced by Elvin Ega .