2 Usalama wa nchi

  • | KBC Video
    33 views

    Waziri wa usalama wa kitaifaKithure Kindiki amesema mipango inaendelea ya kufungua upya mpaka kati ya Kenya na Somalia uliofungwa miaka kumi iliyopita. Kindiki amesema kazi za muundo msingi zinaendelea katika afisi ya forodha. Akiongea alipozuru kaunti ya Mandera, Kindiki alitoa wito kwa wakazi kushirikiana na maafisa wa usalama kutokomeza tishio la ugaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #usalama #News #kithurekindiki