11,021 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 26 Oct 2026
38:12
Mwanasiasa Reuben Ndolo ametoa maoni yake kuhusu changamoto zinazomkabili Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, akidai kuwa alianza kukabiliwa na upinzani baada ya umaarufu wake kuanza kuongezeka.