
219 views
Mwanasiasa Reuben Ndolo ametoa tathmini yake kuhusu uongozi wa Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, akisema utendaji wake haujafikia matarajio ya wengi. Katika mahojiano haya, Ndolo anazungumzia changamoto zinazokabili Nairobi na matarajio ya wakazi kuhusu huduma, maendeleo na usimamizi wa jiji.