
174 views
Katika mahojiano haya, Reuben Ndolo anatoa madai kuhusu aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga (Baba) na uhusiano wake wa kisiasa na Rais William Ruto. Ndolo anadai kuwa Baba alishinikizwa kufanya kazi na Ruto licha ya kutokuwa na nia ya kufanya hivyo.