79 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 26 Oct 2026
15:50
Takriban watu 200 walipoteza maisha kufuatia kuporomoka kwa majengo 86 Nairobi kati ya 2009 na 2019. Je, mamlaka zilishindwa kuona hatari ya jengo la Eastleigh lililokuwa limejengwa kinyume cha sheria? Nani awajibike kwa maafa haya?