
70 views
Kutotekelezwa kwa sheria za ujenzi kunaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa mamlaka za jiji la Nairobi. Kufuatia visa vya kuporomoka kwa majengo, ikiwemo jengo la Eastleigh, je, hatua za kutosha zilichukuliwa kuzuia maafa haya?