
31,071 views
21 Jun 2024
JITUKUZE Lyrics by Dr. Isaac Kahura CHORUS: Utukuzwe ndani yangu Kwa kila hali hata na mali Mimi ni mali yako Baba jitukuze (x2) VERSE 1: Mimi ni shamba shamba lako njoo unifanyie kazi Baba kwa majira yako Jinsi ilivyo shamba lolote lina mwenyewe Baba najisalimisha kwako (x2) CHORUS: Utukuzwe ndani yangu Kwa kila hali hata na mali Mimi ni mali yako Baba jitukuze (x2) VERSE 2: Mwenye shamba anayo mamlaka kwenye shamba lake Nalo shamba laaminika kwa mwenyewe Nisaidie niaminike kwako kwa kuwa nimejuwa Mimi sio wangu mimi ni wako (x2) CHORUS: Utukuzwe ndani yangu Kwa kila hali hata na mali Mimi ni mali yako Baba jitukuze (x2) YOUTUBE - Dr. ISAAC KAHURA OFFICIAL FACEBOOK-Isaac Kahura official INSTAGRAM-Isaac Kahura official TEGEMEO MEDIA - VIDEO