
84 views
Mwanaume anapotofautiana na mke wake baada ya kupata mtoto, je, anapaswa kuwajibikia malezi ya mtoto pekee au pia kugharamia mahitaji ya mama na mtoto? Jiunge na mjadala huu kuhusu wajibu wa mzazi, malezi na ustawi wa mtoto baada ya kutengana. Wewe una maoni gani?