
3,208 views
19 Jul 2020
Karibu kwa kutazama wimbo wetu mzuri unaojulikana kwa jina la "JIULIZE" Ni wimbo unaorudisha utukufu kwa Mwenyezi Mungu kwa huruma na rehema zake, kwa kujiuliza kibinafi kuwa hayo yote bila Yeye twaweza kweli kama binadamu? Ili usipitwe na video zetu zingine nzuri tumia muda huu subscribe kwa kubonyeza kitufe chekundu hapo juu. Asante!!!