
2,294 views
11 May 2023
Song : Wajua Audio : Micrule/ Rump Film By MMP This song is a dedication to you. When you pass through the waters, I will be with you; and when you pass through the rivers, they will not sweep over you. When you walk through the fire, you will not be burned; the flames will not set you ablaze. Isaiah 43:2 Lyrics Maisha safari, Ina Milima Mabonde Mengi Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua, Mapito Ya Kila Mmoja Na Wala Hayafanani Kamwe, Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Wajua, Haukusema Hakutakuwa NNa Mawimbi Ila Kwa Mawimbi U Na Si, Hata Kwa Magumu Yesu Sisi Twakutazamia... Mapito Yangu Eeeeh.... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Mapito Yangu Wajua Wajua Baba Nakutegemea.. Usikonde Mercy, Tena Usichoke Wewe, Kuna Mungu Anayepanguza Machozi Ya Watu Wake.. Hulali Usinzii , Huchoki Kisikiza Maombi Yangu, Wewe Ni Mungu, Na Utabaki Kuwa Mungu, Una Mipango Mema, Ya Kunipa Tumaini Siku Zote... Wewe Ni Mungu, Na Utabaki Kuwa Mungu... Mungu Wangu, Mungu Wangu... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Baba Wewe Wajua Wajua, Wajua Wajua Oooh Mapito Yangu Wewe Tu Mungu Wa Ajabu.. Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Tu, Ni Wewe Tu Wajua... Unajua Kulala Kwangu Na Kuamka, Ooh Ni Wewe Tu , Mungu Wangu Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Wajua... Ni Wewe Wajua Ni Wewe Wajua Eeei Ni Wewe Tu Ni Wewe Wajua... #Wajua #MercySimiyu #GospelZouk