846 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Oct 2026
40:05
Etale asema kuwa nafasi ya Naibu Rais inafaa kupewa mtu kutoka chama cha ODM, akizungumzia nafasi ya chama hicho katika siasa za Kenya na mipango ya kuelekea uchaguzi ujao. Je, pendekezo hili litapata uungwaji mkono?