40 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Oct 2026
18:11
Etale anatoa wito kwa viongozi kuzungumza kwa uwajibikaji na kuepuka kauli zinazoweza kuwachochea Wakenya wanapoelekea uchaguzi. Anasisitiza umuhimu wa amani, umoja na mshikamano wa kitaifa katika kipindi hiki cha kisiasa.