262 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Oct 2026
4:51
Mazungumzo ya kuunganisha upinzani nchini Kenya yanaendelea kushika kasi baada ya Rigathi Gachagua kuwapokea Kalonzo Musyoka na Eugene Wamalwa. Je, hatua hii inaashiria mwanzo wa ushirikiano mpya wa kisiasa?