Familia yamsaka mwanao aliyepotea kwa miaka 23

  • | K24 Video
    Familia moja katika kijiji cha Nyakaba yamsaka mwanao ambaye anadaiwa kupotea kwa miaka 23, mwanao adaiwa kuwa Mombasa