Ruto siasani, awasishi viongozi kutilia maanani mahitaji ya wananchi

  • | K24 Video
    Naibu wa Rais, William Ruto amewasihi viongozi kuweka kando siasa za kibinafsi na kutilia maanani mahitaji ya wananchi ambao anasema wengi wao ni maskini