Rais Uhuru: Mabadiliko ya katiba yataleta faida kwa kuleta usawa katika usambazaji wa rasilimali.

  • | K24 Video
    Mabadiliko ya katiba yalitawala katika Sherehe za Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Gusii, Kaunti ya Kisii, Rais Uhuru Kenyatta, Naibu wake William Ruto na kiongozi wa ODM, Raila Odinga wote wakizungumzia suala la kuwahusisha wakenya wote katika mazungumzo hayo.