Serikali ipo tayari kupeana vitambulisho vya Huduma Namba, Rais na mkewe wapokezwa kadi zao

  • | K24 Video
    Serikali ipo tayari kupeana Vitambulisho vya Huduma Namba pindi bunge litakapoidhinisha zoezi hilo. Waziri wa Usalama wa ndani, Fred Matiangi akiwakabidhi Rais Kenyatta na mkewe vitambulisho hivyo, amesema kuwa mikakati yote ishakamilika licha ya zoezi la pili linalotarajiwa kuanza hivi karibuni kuonekana kuzua tumbo joto miongoni mwa wanasiasa