
9,487 views
17 Jun 2026
Alphajiri’s “Wasichana” is a high-energy anthem celebrating beauty, confidence, fun, and the vibrant party lifestyle. Turn up the volume, hit the dance floor, and vibe with the latest sound guaranteed to keep you moving all night long. Composed by : Alphajiri & Mr Seed Produced by : Sean on the beat Directed by : Director Rahim LYRICS Chorus Siku hizi napenda changaa kuliko wasichana Wasichana wa Nairobi wanaeza fanya upagawe Ngoma naskiza banger bongo Naachia Vijana Talking stage Ai hapana heri nivute shash nilale Kama ushawai tokwa juu umesota Wacha nione mkono Moja Kama Dem yako ashawai chotwa Wacha nione mkono moja Nifukuze dem nifuge kuku kuku Sheria mkononi nikiwa kutu Badala ya munju heri Jaba Njugu Hamkuonanga story ya njugush Siku hizi napenda changaa kuliko wasichana Wasichana wa Nairobi wanaeza fanya upagawe Ngoma naskiza banger bongo Naachia Vijana Talking stage Ai hapana heri nivute shash nilale Wacha kusema unani dai dai Na ex wangu alitekwa Dubai Unanitaka Una akili gani Na shinda club mi sikunywi chai Sina form ya ku marryiana Mi niko marriyuana Nyi mki marryiana Mi niko marriyuana Siku hizi napenda changaa kuliko wasichana Wasichana wa Nairobi wanaeza fanya upagawe Ngoma naskiza banger bongo Naachia Vijana Talking stage Ai hapana heri nivute shash nilale Sina form ya ku marryiana Mi niko marriyuana Nyi mki marryiana Mi niko marriyuana #Alphajiri #kenyanmusic #Wasichana