
4,219 views
21 Jun 2021
Muiyoro . Maana Yake Ni Mafuriko Ama Wingi Wa Maji. Mambo ambayo unayaona kua mazito kwa mungu yote yawezekana. Haijalishi milima ya maisha ama vita za ndoa ama lolote lile mungu yupo kukupigania. maana mengine mengi alikupitisha hadi wasasa hukumbuki ulivio pigana. ishara kua atakupa nguvu za kushinda vita Info Written : Rose Gachie ( mama Shiku Kioneki) video : #J$MVIdeos254 Audio : Star Records Kenya Produced : kijana wa Muraya V Location : Asyana Restaurant in Ong'gata Rongai