57 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 27 Oct 2026
8:30
Likizo ya uzazi ya siku 14 kwa akina baba nchini Kenya yazua mjadala kuhusu usawa katika malezi ya watoto na mgawanyo wa majukumu kati ya wazazi. Je, siku 14 zinatosha kwa baba kumsaidia mama na kumtunza mtoto mchanga?