
102,380 views
18 Apr 2018
massmasilyia is a gospel Artist From D.R.C Kongo,Here are the lyrics for the Uzima wangu Song. Produced by Gamba Productions._2018 (Verse) 1 Wewe Ndiweeh Mwamba Wanguuh,Kisima cha uzima wangu. Ewe Mwezi wangu usikuuuh,Unangazia njia yangu, (Wewe ndiwe kinga yangu Baba unapigania vita vyangu,)X2 Chorus (Yesu ni uzima wanguuh,Tena ni Mchungaji wangu, Siogopi dhoruba, Yesu utanipigania) X2 Verse 2 Upepo ukivuma dhuruba nazo shida,utanipigania eeeh, Haleluyah ,Haleluyah Yesu wangu utanipigianiaah. Unanipa faraja teleeeh,wakati mimi napo teswaah, Unanipa matumaini ya kuishi tenaah,wakati mimi nakata tamaah, Wanionyesha upendo wako teleeh,Watu wote wakinikimbiaah, Haleluyah, Yesu wangu oooh!! (Yesu ni uzima wanguuh,Tena ni Mchungaji wangu, Siogopi dhoruba, Yesu utanipigania) X2 Bridge hooohhhh!!,Wasema vita sio vyangu,Ni vyako oohh!, Kwa roho wako utanipiganiaah ,Kwa vyote eeehhhhhhhhhhh (Yesu ni uzima wanguuh,Tena ni Mchungaji wangu, Siogopi dhoruba, (Yesu utanipigania) X5