
434,549 views
Abeddy Ngosso feat Sarah Kiarie
26 Mar 2018
#Gamba#MimiSiyawezi skiza code71128469 Distributed by: hankad.io Connect with me! https://web.facebook.com/AbeddyNgosso https://twitter.com/AbeddyNgosso https://instagram.com/abeddyngosso GAMBA (C) 2009 Chorus Yesu ndiye msaada wangu wa karibu Kwa yote n'nayo pitia Maana mimi siyawezi haya yote Niwewe uyawezaye Verse Mungu wangu nifungulie milango ya mbinguni Kwa yote ninayo pitia niwewe uyawezaye Shida zangu zimekuwa nyingi Nakuhitaji wewe Baba Chorus Yesu ndiye msaada wangu wa karibu Kwa yote n'nayo pitia Maana mimi siyawezi haya yote Niwewe uyawezaye Verse Wewe ndiwe unaye bariki na tena unaponya Mlinzi mwema utulindaye Nawewe tu unafariji Baba Wewe ndiwe mti wa uzima Milele twakuhitaji, Baba yeye Chorus Yesu ndiye msaada wangu wa karibu Kwa yote n'nayo pitia Maana mimi siyawezi haya yote Niwewe uyawezaye Verse Yesu wangu nakuhitaji Njoo ndani ya moyo wangu Unibariki unifariji, Maana nimevunjika Oh! Sina mwingine aniwezaye Ila wewe wanitoshaa Chorus Yesu ndiye msaada wangu wa karibu Kwa yote n'nayo pitia Maana mimi siyawezi haya yote Niwewe uyawezaye Ni wewe uyawezaye