
5,492 views
21 Jul 2021
SMS the word SKIZA 9046631 TO 811 ZIMWA - Official Video. Been a long time coming. Inakuwaje wasee, comment, like, dislike, subscribe and share. Just click here https://www.youtube.com/channel/UChTMQalx4b3i1jRHsKnu5CA?sub_confirmation=1 LYRICS Kladsman, Kahazitoshi here, ya ya ya, ah what (turkanarise...) ya ya Eyo Ilianza na Hiphop,Mistari nika pop,Panda juu hadi tree top Mistari nika drop,anza move na my people Zingine kwenye neck na zingine ndani ya pipa Usha fikanga East kwa ma beast na mapepo? Mawivu Mcs na wavunja na dis able Take a closer look ni macho white ama meno? Better close your book ni wewe uko ndani ya menu Ni breakfast na lunch, na anzanga na mbegu Better than your mama music, kamata kitu Twende uptown downtown na mavitu Upgrade kama software ya Ubuntu Nikama uko juu ya grade moja na khumundu Ushafikanga Math, Nazianza na rungu Nakatakata nyama, natia kwenye nyungu Kwa rap kama Em nishafeel kama mungu Na standout kaa Wanyonyi, kati ya wazungu. Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva Uko better off kupeleka hiyo beef Westpokot Inaeza lipa mahari, maboyz kuwa support Halafu unaeza andikanga another Ndungu report Hii kikombe siyo ngombe, Ina baki kwa plot Minina dreams za kufanya colabo na fifty,So impressive Ni mipekee na notice ma mcs wako defensive Ma clowns na crown imaginary ni expensive Na skill yao si ya Millitery, ni offensive Come uone squad ya mine nikusho demonstration Mabeste wa afrika tuko killer situation Too hot for TV hatuchezi kwenye station Na pia hatuogopi kwenye rhymes tukimention Usini classify kama gospel, ama secular Na do kila ngoma, unaeza tumia kama cellular Na bora ikufikie kwa kichwa kwenye medulla Maboyz in the hood wanafanya tizi regulaaaaaaar Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva Toka Deep East hadi sasa,Niko na Victory Mustard seed ishakomaa,Na hii ndyo fig tree Scientists wanastudy DNA, na yangu history Mandigo, Natema Albums na hizi mistari Kahazitoshi kama Mory Yékéké do more Matter of fact nikwa na bob ni mi na call more Airtime ni mob nina B.O.B Collimore Action packed double 0 7 ama Demie Moore Fyat toka kitambo nikiwa mtoi, na head blow Migrain ndyo mingi na mistari kaa za rainbow Pelekwa hosi miaka saba high juu ya tembo Nikikatoia nurses na ma..noti za ten bob. Mmmffff! Noti za twenty na ma..noti za five bob Shimmie shimmie ya Shimmie yo,Ndani ya probox Na grab the MIC na naeza toka nayo mbiyo Mirinda na Treetop ndani ya chupa ya Fatlaaaaaaaaar (Murfatlar) Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva Mtazimwa Kama stima za mtaa Mtazimwa Bila kuelezwa masaa Mtazimwa Kama moto ya cigar Mtazimwa Ama meko dishi ikiiva ------------------------------ SMS the word SKIZA 9046631 TO 811