
2,921 views
25 Jun 2020
Song: NIACHENI Skiza: Sms 7757388 to 811 Audio: U-Tune Studios- Chef George Video: Solomon K Image NIACHENI LYRICS Niache, niacheni niache mimi yoyo niache niacheni niache mimi yoyo nimuimbie Mungu wangu nimsifu Mungu wangu nimuinie Mungu kwa maana nafsi yangu ina kiu kwa ajili yake Niacheni mimi (Mimi Esther nimuinue) Niacheni mimi (Ametenda maajabu) Niacheni mimi (Amenipa wokovu) Niacheni mimi (Moyo wangu uko na aje naye) Niacheni mimi Mgonjwa ndiye anajua mahali pana muuma na mimi acheni muimbie maana amenitendea mgonjwa ndiye anajua mahali pana muuma na mimi acheni nimuinue maana amenitendea kama vile ayala atamanivyo vijito vya maji vivyo hivyo nafsi yangu inamtamani kama vile ayala atamanivyo vijito vya maji vivyo hivyo nafsi yangu inamtamani eeeeeeh Niacheni mimi (Najua uzito nilio nao) Niacheni mimi (Mimi Esther nimuinue ) Niacheni mimi (Amenipa furaha tele) Niacheni mimi (Amebariki familia yangu) Oooooh Nikikumbuka uzuri wake huyu Yesu nahisi niruke hadi kwake nipige magoti mbele zake huyu Bwana nimuinamie nimsujudu Nifikiri uzuri wake huyu Yesu nahisi niruke hadi kwake nipige magoti mbele zake,huyu Bwana nimuinamie nimsujudu Oooooh niacheni Niacheni mimi (Kinywa changu kimuinue) Niacheni mimi (Namakofi nipige kwake) Niacheni mimi (Yeye ndiye Mungu) Niacheni mimi (Ametenda maajabu) Niacheni mimi (Amenipa sauti nimuinue) Niacheni mimi (Ameniheshimisha huyu Yesu ) Niacheni mimi (Yeye ndiye Mungu) Niacheni mimi (Nitamuimbua siku zangu zote) Niacheni mimi (Nitamchezea siku zote) Niacheni mimi (Yeye yeye Bwana) Niacheni mimi (Yeye yeye Yesu) Niacheni Mimi oooooo nimuimbie Bwana, nimsifu Yesu ametenda ametenda Aaah Thank you for your continued support. God bless you