
51,744 views
Sifaeli Mwabuka feat Judith Philip
8 Sep 2023
Intro Ninasubiri wakati wangu (I'm Eagerly waiting for my turn ) Sifaeli part Maisha yangu baba yamekuwa ni ya mateso (my life has been full of struggles and hardships) Ninaomba baba fanya Jambo jipya (It's my prayer to you father ,do something new in my life) Maisha yangu yamekuwa ni ya kilio(kilio) (My life has been full of cries) (cries) Ninaomba baba, fanya Jambo jipya (it's my prayer to you father do something new in my life) Maombi yangu baba, nitoke hapa nilipo oh (my prayer,father let me get out of where I am oh) Niwe na ushuhuda, watu washuhudie (washuhudie) Let me have a testimony for people to testify (to testify). Maombi yangu ,nikuone Wewe Mungu wangu ( My prayer is to see my you God ) Fanya Jambo jipya ,oh ,kwenye maisha yangu . (Do something new, oh, in my life ) Nimechoka kulia Lia kila siku kwangu shida ( I'm tired of everyday cries for my struggles and hardships ) Ninaomba baba usinyamaze (usinyamaze) (It's my prayer father ,not be silent on me) Nimechoka maisha haya baba niya mateso oh (I'm tired of this life,father it's torture) Ninaomba baba yangu usinyamaze ( It's my prayer father , not be silent on me) Ninasubiri x3 Ile wakati wangu(wakati wangu) I'm eagerly waiting for my turn/time Ninasubiri x3 ayayayaya Yesu wangu Ile wakati wangu I'm eagerly waiting for my turn/time oh Jesus Chorus Nimechoka masimango (I'm tired of mockery) Ninasubiri (I'm eagerly waiting) Nimechoka kudharauliwa (I'm tired of been contempted Ninasubiri (I'm eagerly waiting) Nakugonja wewe baba ( I'm waiting upon you father) Ninasubiri ( I'm still waiting) Wewe msaada wangu (you are my help) Ninasubiri (I'm still waiting) Kimbilio langu (my refuge) Ninasubiri (I'm still waiting) Nakugonja wewe ( I'm waiting upon you) Ninasubiri ule wakati wangu I'm waiting for my time /turn Judith Uliniahidi baba kwamba hutoniacha (Father you promised ,you won't leave me) Mimi mwanao ninasubiri (I, your child ,am still waiting) Uliniahidi sitabaki peke yangu ( you promised, I'll not be alone) Utasimama pamoja Nami ( you'll stand with me) Ulisema sitakopa nitakopesha (You promised I'll not borrow,I'll lend) Baba nikumbuke eeh ehh (Father remember me ehh eeh) Ulisema hutoruhusu niaibike You promised,I'll not be ashamed Baba timiza Ahadi yako (Father fulfil your promise to me) Ninasubiri utimize ndoto zangu ( I'm still waiting for you to fulfil my dreams) Ninasubiri kutoka kwako (I'm Eagerly waiting upon you) Ninasubiri muujiza wangu kutoka kwako oh ( I'm waiting for my miracle from you) Eeeh baba aaah aah Eeh father aaah aaah Break down Ooh ninasubiri (ooh I'm still waiting) Ninasubiri ( I'm still waiting) Nimechoka kudharauliwa ( I'm tired of been looked down upon) Eeh eeh Ninasubiri (I'm eagerly waiting) Ule wakati wangu ( for my turn) Oh ninasubiri ( ooh I'm eagerly waiting) Ahadi Zako ( for your promises) Ninasubiri ( I'm eagerly waiting) Eeh eeh ule wakati wangu Eeeh eeh (for my turn) Alleluia (hallelujah) Ninasubiri ( I'm eagerly waiting) Baraka Zako kwangu ( your blessings to me) Ninasubiri (I'm eagerly waiting) Ahadi Zako ( for your promises) Alleluia ( hallelujah) Ooh ninasubiri ( ninasubiri) (Ooh eagerly waiting for my turn) Ninasubiri ,ninasubiri (I'm eagerly waiting) Ninasubiri x2 ule wakati wangu (I'm eagerly waiting for my turn/time) Baraka Zako kwangu ( your blessings to me) Ninasubiri (I'm eagerly waiting) Ahadi Zako (For Your promises) Alleluia (Hallelujah) Ooh ninasubiri iiiiii (Ooh I'm eagerly waiting) Ooh baba (Ooh father) Nimechoka masimango (I'm tired of mockery) Nimechoka kudharauliwa (I'm tired of been contempted) Nakugonja wewe (I'm waiting upon you) Baba ooh (Father ooh )