This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

287 views
18 Apr 2025
Tell me the story of Jesus hymn is an inspirational piece that i thought would suit your easter holiday mood. stay blessed with yourr families Nyimbo Za Kikristo No. 34: Nipe Habari za Yesu 1. Nipe habari za Yesu, Kwangu ni tamu sana: Kisa chake cha thamani Hunipendeza sana. Jinsi malaika wengi walivyo imba sifa, Alopoleta amani kwa watu wa dunia. Nipe habari za Yesu, Kaza moyoni mwangu; Kisa chake cha thamani Hunipendeza sana. 2. Kisa cha alivyogungwa Peke yake jangwani. Jinsi alivyomshinda Jaribu la Shetani; Kazi aliyoifanya, Na siku za huzuni, Jinsi walivyomtesa: Yote ni ya ajabu! 3. Habari za Msalaba Alivyosulubiwa; Jinsi walivyo mzika, Akashida kaburi. Kisa chake cha rehema. Upendo wake kwangu. Alivyotoa maisha Nipokee wokovu