
7,363 views
17 May 2024
MBELE NINAENDELEA lyrics Mbeleni naendelea Ninazidi kutembea, Mombi uyasikie Ee Bwana unipandishe, Chorus Ee Bwana uniinue Kwa imani nisimame, Nipande milima yote Ee Bwana unipandishe. Sina tamaa ni nikae Mahali pa shaka kamwe, Hapo wengi wanakaa Kuendelea naomba. Nataka nipandishwe juu Zaidi ya yale mawingu, Ninaomba nifikishwe Ee Bwana unipandishe. #hymn #tenzizarohoni #mbeleninaendelea #viral #trending