
104 views
Katika Bunge la Maisha – University Students Edition, wanafunzi wa vyuo vikuu wamejadili changamoto zinazowakabili kutokana na mgomo wa wahadhiri na mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu. Wametaka serikali kusikiliza malalamishi yao na kuwashirikisha katika maamuzi yanayoathiri maisha na mustakabali wao wa kielimu.