41 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 28 Oct 2026
11:29
Katika Bunge la Maisha, wanafunzi wanakosoa serikali kwa kuwa na haraka ya kutunga sheria nyingi bila kushughulikia chanzo halisi cha matatizo yanayowakabili. Wanatoa wito kwa serikali kutafuta suluhu za kudumu badala ya kuongeza sheria.