9 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 28 Oct 2026
2:13
Felix Oluoch anasema kuwa njia pekee ya serikali kusikiliza wananchi ni pale wanapotoka kuandamana. Anasisitiza umuhimu wa maandamano katika kuwasilisha malalamishi kwa serikali.