23 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 28 Oct 2026
4:40
Mwanafunzi wa JKUAT, Wilsmith Odhiambo, anasema wanapanga kugoma hadi serikali isikilize malalamishi ya wahadhiri. Anasema hatua hiyo inalenga kuishinikiza serikali kutatua mzozo unaoendelea kati yake na wahadhiri.