
4,020 views
18 Sep 2024
“Amen! Praise and glory and wisdom and thanks and honor and power and strength be to our God for ever and ever. Amen!” Revelation 7:12 Partner and support our ministry https://www.tunedem.org/donate CREDITS; Producer : Kazi Ya Shamir Artist : TuneDem Band Written by : Kepha Charles Video Directed & Edited by : Davy Barbz Shot on iPhone 15 pro max by Davy Barbz Track Riddim ; Rebellution riddim LYRICS ; Sifa zote na shukurani ni zako bwana Yesu Mungu wangu Ewe Baba yangu Matendo yako ni ya ajabu Mfalme wangu Kiongozi wangu Ukuu wako haupimanishwi Pokea sifa Yesu Kwa kuwa wewe ni Mungu Uabudiwe Yahwe Kwa kuwa wewe ni Mungu Ukakomboa Danieli toka tundu la Simba Ukafufua walio wafu, kaponya magonjwa Ukawalisha walio njaa na ukawanywesha Ukatambea juu ya maji, katuliza dhoruba Pokea sifa Yesu Kwa kuwa wewe ni Mungu Uabudiwe Yahwe Kwa kuwa wewe ni Mungu Aaaaaaaaaaaaaah Unaweza Uuuuuuuuuuuuuuuu Unatosha Pokea sifa Yesu Kwa kuwa wewe ni Mungu Uabudiwe Yahwe Kwa kuwa wewe ni Mungu Pokea sifa Yesu Kwa kuwa wewe ni Mungu Uabudiwe Yahwe Kwa kuwa wewe ni Mungu