
47 views
Likizo za shule si wakati wa watoto kupumzika pekee, bali pia ni fursa kwa wazazi kuwafahamu watoto wao kwa undani. Katika mazungumzo haya, mwalimu wa CBC anaeleza umuhimu wa wazazi kutumia likizo kujenga uhusiano wa karibu na watoto wao, kuelewa vipaji vyao, changamoto zao na mahitaji yao ya kihisia.