
22 views
Katika kipindi hiki, tunajadili kwa nini vijana wengi zaidi wanalalamikia black tax—shinikizo la kifedha la kusaidia familia na ndugu zao. Je, kusaidia familia kumekuwa mzigo kwa vijana wanaojitahidi kujitegemea, kujenga maisha yao na kutimiza ndoto zao?