
75 views
ikizo ni zaidi ya muda wa kupumzika! Mwalimu wa CBC anazungumzia nafasi ya wazazi katika kuwalea watoto, kukuza vipaji na ujuzi wao, pamoja na jinsi tabia za wazazi zinavyoweza kuwaathiri watoto kwa njia chanya au hasi. Je, unatumiaje likizo kumjua mtoto wako zaidi?