
756,626 views
David Wonder and Nimo Gachuiri
17 Nov 2023
Jeremiah 1:19 They will fight against you but will not overcome you, for I am with you and will rescue you,” declares the Lord. #Ataonekana lyrics Verse 1 WONDER Kwa kushuka na kupanda Wasiwasi ukinipanda Utaonekana Bwana Utaonekana Bwana Na nikifika mwisho Mi ninayo thibitisho Utaonekana Bwana Utaonekana Bwana Na sitalia tena tena tena Naona Umechelewa ila kwako Umefika mapema Na kwa hii njia sema sema sema Neno moja tuu na nafsi yangu itatulia tena Oooh zum zum zum Wamekuwekea sumu sumu sumu Haita dumu dumu dumu Ataonekana soon soon soon Ooh zum zum zum Wamekuwekea sumu sumu sumu Haita dumu dumu dumu Ataonekana soon eeeh CHORUS Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana tena Bwana ATAONEKANA Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana tena Bwana ATAONEKANA verse 2 NIMO Wanataka niabike wafaidike Nikiomba nisisaidike Nisisaidike Njia zangu zilainishe jibainishe Jionyeshe Ujibainishe Na Utukuke Wanadamu kila mtu na taabu zake Baba usiniache Wacha nikufuate Hujawahi nipa mawe nijipange Ilhali nahitaji mkate Wacha nikufuate Oooh zum zum zum Wamekuwekea sumu sumu sumu Haita dumu dumu dumu Ataonekana soon soon soon Ooh zum zum zum Wamekuwekea sumu sumu sumu Haita dumu dumu dumu Ataonekana soon eeeh CHORUS Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana tena Bwana ATAONEKANA Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana Ataonekana Bwana tena Bwana ATAONEKANA here is the new video written : #wonder #nimo audio : Alexis On The Beat video : Slim Mapoz