
79,675 views
David Wonder and Alpha Mwana Mtule
9 Sep 2022
Jeremiah 31: 4 I will build you up again, and you, Virgin Israel, will be rebuilt. Again you will take up your timbrels and go out to dance with the joyful. . Audio: Alexis On The Beat Video: Slim Mapoz Written By: Alpha Mwana Mteule, David Wonder #mwanamtule #davidwonder #gospel stream AUDIOMACK https://audiomack.com/davidwonderke/song/rhumba-ya-nzambe BOOMPLAY https://www.boomplaymusic.com/share/album/54307868?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID SPOTIFY https://open.spotify.com/album/0g8nTVshW9ZYKSm9cvAiXA?si=MulUCtbjR_aAnYASdEx7ng&utm_source=copy-link Mdundo https://mdundo.com/song/2097230 lyrics Hapo mwanzo kulikuako neno Naye neno alikuako kwa Mungu Yeye neno alikua ni Mungu uuuh Mungu baba (Nzambe) Vyote vilifanyika kwa huyo wala Pasipo Yeh Hakungefanyika chochote Kilicho fanyika aaah Atukuzwe sana mungu baba Milele daima Yeh shetani, ye hujakuiba Kuchinja na kuharibu Hana lolote ye Mawenge tuu Mungu ngashamfukuzanga mbinguni Kisa kiburi yake Tusifuatane na yeye tumfuate Nzambe Hii sio ndombolo Hii ni Rhumba ya gospel ooh Ikikuingia kwa moyo Basi cheza kwa maringo Hii sio ndomboloo ya solo Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Mmh mi sipendi maneno Mi sio mtu ya maneno Nina neno la Mungu kwa moyo Narithika nalo Ya nini malumbano Sitaki malumbano Mungu amenifunza amani Come share with me Hizo story za umbea Sitaki Mtoto wa mungu na penda Amani eeeh Ye shetani ye huja kuiba Kuchinja na kuharibu Hana lolote ye mawenge tu Mungu ngashamfukuzanga mbinguni Kisa kiburi yake tusifuatane na yeye Tumfuate Nzambe Hii sio ndombolo Hii ni Rhumba Ya gospel ooh Ikikuingia kwa moyo Haya cheza kwa maringo Hii sio ndomboloo ooooh (Producer alexis, aah unafanyanga nini unacheza volume mzuri inamuingia mwanadamu mpaka ndani ya mwili Kama kwa mfano, ulicheza guitar ngafurahi, nganiingia mimi na ndugu yangu David wonder ah ah ah) Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Tucheze Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe Rhumba Ya Nzambe