
215,728 views
14 Mar 2026
Tunahangaika kwenye dunia hii ya mateso, na imani yetu inayumbayumba. Wimbo huu ni sala kuu kwa Mungu atuongoze katika safari hii ya maisha. Wimbo: Imani Yangu Mtunzi: Victor Murishiwa Audio: Neema Pro Video: Zidi Media Studios