
15 views
Wahadhiri watia saini makubaliano ya Shilingi bilioni 20 na serikali kumaliza mgomo siku ya Ijumaa; afisa wa wizara asema fedha hizo zitalipwa kwa awamu tatu, huku masomo yakitarajiwa kurejea Jumatatu ya wiki ijayo. Host: Titi Ni Rhumba & Deejay darius sixfigure Producer: Presenter DK KE #RhumbaRepublik