
2,205 views
21 Dec 2020
"Parapanda" by Bonny Kasiporo Listen to Kasiporo:https://youtu.be/thZqgQ6EdK8 Subscribe to the official Bonny Kasiporo youtube channel https://youtu.be/3dcgsMB0AX0 Follow Kasiporo ;Instagram: https://www.instagram.com/kasiporo facebook;https://www.facebook.com/bonykasiporo Twetter; https://twitter.com/Kasiporo Parapanda Lyrics.. "Watashuka Kama viwavi Wanajeshi Watenda kazi Ulikufa Ukitenda Dhambi ama Pasta ukihubiri, Neno lina sema Wazi wazi Asie Abudu MUNGU ni wa Shetani Siku ya Hukumu Injiani Utasimamishwa kizimbani Nimetembea Kushoto Kulia Sijaona mwenyehaki ameachwa " Nimetembea nimejionea Vyashetani mwisho ni Majanga Yesu niwa Upendo !!! Oooh Ooh Shetani Muongo!! Oooh Ooh. kwashetani ni Moto!! Oooh Ooh kwa MUNGU ni kusifu oooh Ooh ""Pam Pam Pam paraparapara Parapanda italia ""Pam Pam Pam paraparapara Parapanda italia . Malaika watashuka kuja kunyakua Parapanda ikililia Nashetani Atakuja pia ku chukua Parapanda ikililia.. " Unaimba injili Unafunza watu kwenda mbinguni Unawambia Ukweli Moyoni je umeanza na kweli Watoa vipi Goriti kwa Mwenzio na kwako lipo Toa kwanza kwako ndo uone la mwenzio Nimetembea Kushoto Kulia Sijaona mwenye haki ameachwa Nimetembea nimejionea Vyashetani mwisho ni Majanga Yesu niwa Upendo ooooh ooh Shetani Muongo ooooh ooh kwa shetani ni Moto ooooh ooh kwa MUNGU ni kusifu ooooh ooh ooh Sana. ""Pam Pam Pam paraparapara paranda italia Pam Pam Pam paraparapara Parapanda italia malaika watashuka kuja kunyakua Parapanda ikililia nashetani Atakuja pia ku chukua Parapanda ikililia....