
12,354 views
6 Oct 2020
Bill Yangu - DJ Perez ft. Obako & Vuva (Official Video)(Kenya Music) Hope you guys enjoy this! 👉 If you enjoy this video, please like and share it. 👉 Don't forget to subscribe to this channel for more update. 👉 Subscribe now: https://bit.ly/30U7xqM Stream Here : https://ffm.bio/perezonzere 💢💢 Follow us on social media: 💟 Instagram: https://www.instagram.com/djperez254 💟Facebook: https://www.facebook.com/djperez254 💟Twitter: https://www.twitter.com/djperez254 OBAKO 💟Instagram : https://www.instagram.com/obakoclinoo LYRICS [intro] Pewa pewa keroma Pewa pewa mnyweso Pewa pewa mavindu [Chorus] Pewa kwa bill yangu, pesa iko Kunywa kwa bill yangu, pesa iko lewa kwa bill yangu, pesa iko iko nini, pesa iko si tunalewalewa leo ni wikendi ni kulewalewa monday to monday tunalewalewa aii si tunalewalewa [verse 1] kwa mfuko yani pesa zimejajaja thats why namshukuru mungu jah jah jah waiter leta pombe kwenye meza zah usiulize ngapi ngapi we jazaza peya yule dem sura amewezaza na yule mwenye thutha amejazaza juu kaa ni kupaty si upaty na manyeng kulewa si ulewa na mayeng juu hizi raha mi hupeleka na rieng na kaa wee ni arif basi kuja na kayeng si ni ile mbogi si uchafua bila huruma tukiaribu pesa usituonee huruma [hook] Lamba chupa, huku hakuna kulamba chupa x2 [Chorus] Pewa kwa bill yangu, pesa iko Kunywa kwa bill yangu, pesa iko lewa kwa bill yangu, pesa iko iko nini, pesa iko si tunalewalewa leo ni wikendi ni kulewalewa monday to monday tunalewalewa aii si tunalewalewa [verse 2] Basi njoo tu tukate hebu toka huyo dante mizinga zinadunda parte after parte makali mawhiskey matekila piga shot bash tu na Perez si unajua ni kuhot ni kujiachilia, wee itisha bia mi ntagaamia si kulamba bia wee ukiniita dia, unapewa pia Niite mweshimiwa na sijachaguliwa ukutarajia basi pewa pia sako kwa bako kata mpaka msako ni vuva na obako ni masaa na tuko macho na beat ni ya mavo si ukill toka bafo [Hook] Lamba chupa, huku hakuna kulamba chupa x2 [Chorus] Pewa kwa bill yangu pesa iko Kunywa kwa bill yangu pesa iko lewa kwa bill yangu pesa iko iko nini, pesa iko si tunalewalewa leo ni wikendi ni kulewalewa monday to monday tunalewalewa aii si tunalewalewa [Verse 3] si ni wale mnyweso hutuoneshaga kingoso na tuogopi kupitia hayo mateso cheki ule dem amebeba na amevaa maleso kwenda kumgusa aa kumbe ni shosho na mi nikamsho twende orosho nikuonyeshe zile michezo za kireso mmm aa za kireso x2 Pewa pewa keroma Pewa pewa mnyweso Pewa pewa mavindu [hook] Lamba chupa, huku hakuna kulamba chupa x2 [Chorus] Pewa kwa bill yangu pesa iko Kunywa kwa bill yangu pesa iko lewa kwa bill yangu pesa iko iko nini, pesa iko si tunalewalewa leo ni wikendi ni kulewalewa monday to monday tunalewalewa aii si tunalewalewa #billlyangu #obako #vuva #djperez #billyangebychrisevans #DJPEREZKENYA Thank you for watching this video, click the "SUBSCRIBE" button for stay connected with this channel. Subscription Link: https://bit.ly/30U7xqM