
5,781 views
Mj Ke, NanchWorld and Vanvokeh
21 Aug 2020
#MjKe #KenyaHakunaMatata Audio-Jontezz(Krucial Sounds) Video-Steve Mugo(Ambition Media House) Model-Brayc_254 Intro Hakuna matata hakuna matata hakuna matata Hakuna x2 Verse 1 Nchi yenye bidii ya watu/ Walo jitahidi viatu/ Vyao ni shahidi/ Ya zao bidii/ Uzalendo nguzo kuu ya watu/ Kwa upendo baina ya watu/ Raha raha tupu/ Furaha kuu/ Machweo uwapate shambani/ Hii leo kesho shukrani/ Kwa Mola aah/ Na kwa baraka/ Chorus Kenya eeh, ni nchi yetu weeeh Hakuna matata Hakuna hata x2 Verse 2 Asubuhi jua lachomoza/ Na kungaa kwenye ardhi bora/ Sura lililongarishwa na, Mboga za kila aina/ Wafunga virago waenda wapi/ Na vyote vi hapa nyumbani/ Kenya, kenya, kenya, kenya, kenya aah/ Uuh songea karibu nani/ Utizame jinsi sisi/ Tumedumisha amani/ Nchini kenya eeh/ Chorus Kenya eeh, ni nchi yetu weeeh Hakuna matata Hakuna hata x2 Refrain Hakuna matata hakuna matata hakuna matata Hakuna x2 Eeh Mungu nguvu yetu/ Lete baraka kwetu/ Aah nguvu zako ndizo nuru/ Kaondoa machungu/ Kazidisha undugu/ Na ukatupatia suluhu/ Nchi Bomba na mandhari salama KENYA/ Yasifiwa nazo mbuga za wanyama tena/ Kila siku bado tutashikana / Tutaendelea tutazidi kusimama/ Ukabila,chuki tuweke kando/ Tumetoka mbaaaali na mambo bado/ Tuungane na tuishi kwa upendo/ Amani itadumu kwa kila kiwango/ Chorus Kenya eeh, ni nchi yetu weeeh Hakuna matata Hakuna hata x2 Refrain/Outro Hakuna matata hakuna matata hakuna matata Hakuna x2