
534 views
22 Apr 2020
#TMJKenya #Ngomma ©2022 Administered by Ngomma VAS Limited. #tmjkenya #coronavirus #stayhome #staysafe the song was written and performed by tmj kenya audio produced by tracklab records producer davy video by rap j Corona virus audio: https://youtu.be/rjF0leollyM Maisha magumu video: https://youtu.be/2BlVWDkXmNI Najutia audio:https://youtu.be/h9O19tNWSew Lyrics: Verse 1; Sijui niseme nini kuhusu hizi virusi Zilianzia Uchina sasa hivi ziko Kenya Soko zinafungwa hatuwezi nunua tena Labda revelation sasa itaeleweka Watu walihofia wakaanza kununua Super zinafungwa na mababi wanastock Mchochole Anashangaa kesho atakula nini Hatusafiri shamba tena,tunahofia kusambaza Na memes mwatengeza,you think it's funny But ikiwapa amani,fanya na mipaka Najua siku chache tu tutaandamana Subiri mwezi upite Ili upate chakula,lazima upiganie Korona hatuiogopi ila habari ziso kamili Nachowaomba wenzangu tu ni tuiondoe hofu Ipo kinga tumeskia,wapo waliopona Tuufate ushauri wa serikali,na wa Wizara ya Afya We know it's true,korona ni hatari Watabibu maarufu wameshindwa muling'amua Ulimwengu umeyumba Zipo dawa za kupoza Ni muda tumuombe mungu Hatutegemei tena Sayansi ya ulimwengu Chorus; Oo oh X3 Korona...covid 19 Oo oh X2 Korona...Mola tuokoe Verse 2; Kila nimuonae ni kitamvua tu na glavu Sio keshi tena,ni benki na M-pesa Tusiache kunawa mikono,pia ku sanitize Social-distance ni muhimu tuzingatie huu wosia Tuepukane na busu hili janga litapita Tukae majumbani hali itakua sawa Tumakinike na news tuepuke kupotoshwa Tunajiona vijana eti hatuwezi tukaugua Kisha tunasambazia walio hatarini zaidi Najua ni hatari isemwavyo au zaidi Ila shule zimefungwa Madhehebu yamefungwa Sasa ni Karantina tu Road-blocks ni home tu Maisha hayana raha ila haya yatapita tu Chorus; Oo oh X3 Korona...covid 19 Oo oh X2 Korona...Mola tuokoe Verse 3; Yooh.. Hebu tafakari ifike kesho,hauwezi pata chakula Huwezi pata vipodozi Na hali haiko sawa Itakuwaje......? Hebu tuufuate ushauri wa serikali Wa Wizara ya afya na hali itakua sawa Pia tumuombe mungu,atuondolee hili janga Chorus; Oo oh X3 Korona...covid 19 Oo oh X2 Korona...Mola tuokoe