
484,750 views
29 May 2025
ngoma hii inasimulia hadithi ya maisha ya mtu mmoja ambapo alikutana na mwanamke barabarani akiwa na mtoto wa kike. Licha ya yeye kuwa mama wa mtoto mmoja, alimkubali na kumpenda hadi wakaoana. Hata hivyo, uhusiano wao uliisha kwa uchungu baada ya mwanamke huyo kumsaliti kwa kutoka kimapenzi na baba wa mtoto wake (anayejulikana kama "baby daddy"). nyasi chomiet inne ,, kyoldo pochi nene pochi nene yoyo zing yoyo sing yo-yo zing pochi nene kalenjin song pochi nene song
