
202 views
Hotking Daniels asimulia kisa cha kutekwa nyara baada ya kushawishiwa kwa chips na soda, kabla ya kupelekwa msituni nchini Congo ambako alijikuta akiwa mikononi mwa waasi. Aeleza masaibu aliyopitia, ikiwemo madai ya kulazimishwa kula nyama ya binadamu.