454 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 29 Oct 2026
10:10
Naibu Gavana wa Bungoma, Janepher Mbatiany, azungumzia wimbi la kisiasa la “Sisi ndio Sifuna” katika Kaunti ya Bungoma, akitoa maoni yake kuhusu umaarufu na ushawishi wa wimbi hilo katika siasa za eneo hilo.