
36 views
Naibu Gavana wa Bungoma, Janepher Mbatiany, amesema kuwa ofisi ya naibu gavana haina bajeti ya miradi ya maendeleo. Kauli yake inaibua maswali kuhusu majukumu ya ofisi hiyo na nafasi yake katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kaunti.